Baada ya ukimywa wa miaka 15 msanii maarufu sana wa Pop duniani Shania Twain ametoa wimbo mpya na kutangaza ujio wa album yake.
Shania Twain mwenye uri wa miaka 51 sasa atatoa album mpya iliyopewa jina Now, September mwaka huu.
Wimbo mpya unaitwa “Life’s About to Get Good,” Isikilize hapa…
No comments:
Post a Comment