Wanaosimamia kazi za msanii wa Bongo Fleva/Rap na HipHop Young Dee wamempa msanii wao zawadi ya gari mpya baada ya mafanikio makubwa ya kazi kadha walizofanya pamoja.
>>”Nashukuru mungu kwa kila kitu mbele yangu, Huu mwaka umekua wa ajabu sana kwangu, Nimekutana na changamoto za kila aina,ila kwakua Mungu ni mwema, nimeweza kusimama kama Jina langu Daudi na kuu’shuhudia Ufalme wa Mungu….Am so Grateful y’all…!! Happy birthday Young Dee.”
Kwenye Instagram yake Young Dee ameandika “Aiseee!!! Huu mwaka kwakweli umekua wenye baraka zaidi. Asante M/mungu,Asante management yangu @kingcash_uk@sudybaya_kingmaarifa1 kwa hii zawadi ambayo kwangu ina thamani kubwa sana. Ishara nzuri ya kuuanza mwaka mpya #2018 #Earlybirthdaypresent#VolkswagenBeetle #Birthdayloading”
No comments:
Post a Comment