Mlinda mlango wa Syria, Ibrahim Alma ameonekana kuwa chaguo namba moja kwa Meneja wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola licha ya bosi huyo kutoliweka wazi swala hilo.

Meneja wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola
Alma anasifika kwa uwezo wake awapo uwanjani hasa namna anavyoweza kutumia mikono yake katika kupiga mpira lakini kwa upande wa Guardiola amelifanya siri.

Mlinda mlango wa Syria, Ibrahim Alma
Golikipa wa Syrian Ibrahim Alma akicheza dhidi ya Japan
DOWNLOAD APP YA JONGOTZMEDIA.BLOGSPOT.COM KUPITIA CHROME ANA TUTEMBELEE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII FACEBOOK JONGOTZ INSTRUGRAM JONGOTZOFFICIAL NA TWITTER SUPERDULLAH 13 NA YOUTUBU KINGJONGO TV
SHARE NA COMMENT HAPA
No comments:
Post a Comment