Msanii Jaguar wa Kenya ameonekana kuanza kampeni zake za kuomba kura kimya kimya.
Muimbaji huyo ameonekana Jumatatu hii katika soko la Tsunami mjini Nairobi huku akizungukwa na umati wa watu huku wakimshangilia.
Jaguar anawania ubunge katika eneo la Starehe County mjini Nairobi kupitia muungano wa chama cha Jubilee katika uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika August 8 ya mwaka huu.
No comments:
Post a Comment