KIKOSI CHA SIMBA KIMEPEWA MAPUMZIKO MWEZI MMOJA - JONGOTZMEDIA.COM

Latest

efm

">">WHATSAPP NUMBER 0757357341

Pages

Wednesday, 7 June 2017

KIKOSI CHA SIMBA KIMEPEWA MAPUMZIKO MWEZI MMOJA

Ungana nasi kila siku kupata habari zetu
 Download app yangu kupitia chrome http://www.appsgeyser.com/5104826?
Kikosi cha Simba kimepewa mapumziko ya mwezi mmoja ambapo kitarudi tena kambini kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa 2017/2018 tarehe 3/7/2017. 

Akizungumza na Simba News Makamu wa Rais wa Simba Eng. Geophrey Nyange 'Kaburu' alisema 'tumekipa mapumziko marefu kikosi chetu cha Simba ambapo kitarudi tena kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya tarehe 3/7/2017.' 

'Kuhusiana na suala la usajili ni kweli kamati ya usajili inaendelea kufanya kazi yake na siku za hivi karibuni tutaanza kuwapa habari rasmi za usajili ndani ya klabu ya Simba. alimalizia Makamu wa Rais Nyange Kaburu baada ya kuulizwa swali juu ya usajili ambao klabu ya Simba imeufanya mpaka sasa au inatarajia kuufanya.

No comments:

Post a Comment