Real Madrid ya tangaza dau la Ronaldo - JONGOTZMEDIA.COM

Latest

efm

">">WHATSAPP NUMBER 0757357341

Pages

Sunday, 18 June 2017

Real Madrid ya tangaza dau la Ronaldo

Baada ya kuipa mafanikio makubwa klabu yake ya Real Madrid ya Hispania, Mshambuliaji wa Klabu hiyo Cristiano Ronaldo ameutaarifu uongozi wa klabu hiyo kuwa anataka kuondoka endapo atapata klabu ya kumnunua .
Tokeo la picha la ronaldo 2017
Cristiano Ronaldo
Hatua hii ya Ronaldo ambaye pia ni mshindi mara nne wa tuzo ya ‘Ballon d’or’ inakuja baada ya kupata kesi ya ukwepaji kodi wa kiasi cha Euro Milioni 13.
Klabu ya Real Madrid  kupitia Gazeti la Marca imetangaza kwa vilabu viwili vya Man United na PSG vyenye nia ya kunasa saini ya mkali huyo kuwa kama vitakuwa tayari kulipia Pauni milioni 160 basi watamuachia Ronaldo aondoke.

No comments:

Post a Comment