Klabu ya Barcelona imemtangaza Ernesto Valverde,53 kuwa Kocha wao Mpya. Kocha huyo wa zamani wa Athletic Bilbao amekuja kuziba pengo la Luis Enrique.
Ernesto Valverde amepewa mkataba wa miaka miwili akiwa na dirisha la kuongeza watatu.
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
No comments:
Post a Comment