Habari zilizotufikia muda si mrefu ni, watu watatu wanasadikiwa kufariki dunia kwenye shimo lililokuwa likitumika kuchimba changarawe katika mtaa Bugambakamo manispaa ya Bukoba
Wanaosadikiwa kufariki ni wanafunzi wawili na mtu mzima mmoja jeshi la zima moto na uokoaji linaendelea kutafuta miili
Mpaka sasa mwili wa mwanafunzi mmoja ameshaopolewa kutoka katika shimo na zoezi la kuwatafuta wengine bado linaendelea'Mwenyekiti Bugambakamo taarifa zaidi endelea kutufatilia.
Chanzo- Kasibante Fm Radio
No comments:
Post a Comment