Real madrid na Man city wapo kwenye vita kali ya kutaka saini ya kijana MBAPPE mwenye umri wa miaka 18 anaye kipiga katika LIGI 1 nchini Ufaransa katika club ya MONACO
Man CIty wametoa offer ya 130 miliion Euro kwa kuwania saini ya kijana huyo mbape huku Real Madrid wanataka sain ya kijana huyo kwa ajili ya kuja kumlisi CR7 jee hii vita nani atashinda..........................
angalia video hapa na sabscribe
No comments:
Post a Comment