MAMA MARIA NYERERE ANATUITA TUKUTANE BUTIAMA - JONGOTZMEDIA.COM

Latest

efm

">">WHATSAPP NUMBER 0757357341

Pages

Sunday, 28 May 2017

MAMA MARIA NYERERE ANATUITA TUKUTANE BUTIAMA

Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere ameelezea kwamba kwa taaluma Baba wa Taifa alikua mwalimu wa Baiolojia akijikita zaidi katika mimea.

      Mama ametoa wito kwa Watanzania wote hususani wa kanda ya ziwa kujumuika pamoja siku ya terehe 3 na 4 huko Butiamak katika kuenzi falsafa za mwalimu nyerere

ANGALIA VIDEO ALICHO KIZUNGUMZA MAMA MARIA NYERERE

No comments:

Post a Comment