ALLY MAYAY AREJESHA FOMU, WENGINE NAO WATUA TFF - JONGOTZMEDIA.COM

Latest

efm

">">WHATSAPP NUMBER 0757357341

Pages

Tuesday, 20 June 2017

ALLY MAYAY AREJESHA FOMU, WENGINE NAO WATUA TFF

Mgombea wa nafasi ya urais katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ally Mayay pamoja na anayewaia nafasi ya umakamu, Mtemi Ramadhani wamerejesha fomu za nafasi zao hizo mapema leo, ikiwa ni mwendelezo wa kurejeshwa kwa fomu za uchaguzi wa TFF utakaofanyika mwezi wa nane.
Wagombe hao ni baadhi ya  engine ambao wanaendele kurejea fomu ambapo wawili hao hata wakati wanachukua walichukua pamoja juzi.
Wakati anaelekea kuchukua fomu, Mayay aliwasili kwenye ofisi za TFF akiwa amesindikizwa na wachezaji wenzake wa zamani pamoja na kocha Julio ambao wote kwa pamoja wanamuunga mkono nyota huyo wa zamani soka Bongo.
Baada ya kuchukua fomu, Mayay alisema kuungwa mkono na watu kunampa faraja na kunamsukuma kuelekea kwenye dhamira aliyopanga kuitimiza.
Mgombea mwingine ambaye alirejesha fomu ya urais mapema leo ni Fredrick Masolwa, pia mgombea wa nafasi ya ujumbe Shafih Dauda naye amerejesha fomu.

No comments:

Post a Comment