VICTOR WANYAMA WA SPURS ATUA JIJINI DAR KWA AJILI YA KUPUMZIKA - JONGOTZMEDIA.COM

Latest

efm

">">WHATSAPP NUMBER 0757357341

Pages

Tuesday, 20 June 2017

VICTOR WANYAMA WA SPURS ATUA JIJINI DAR KWA AJILI YA KUPUMZIKA

Kiungo Tottenham Hotspur, Victor Wanyama ametua jijini Dar es Salaam nchini Tanzania na kueleza kuwa ujio wake huo ni maalum kwa ajili ya mapumziko mafupi akisubiri maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’.
Mara baada ya kutua Wanyama ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Kenya, Harambe Stars, amenukuliwa akisema: “Ni mapumziko ya muda mfupi, kabla ya kurejea kazini. Nimechagua kupumzika Tanzania.”

No comments:

Post a Comment