MAN CITY IMETANGAZA LEO KIPA EDERSON MORAES KUTOKA BENIFICA - JONGOTZMEDIA.COM

Latest

efm

">">WHATSAPP NUMBER 0757357341

Pages

Thursday, 8 June 2017

MAN CITY IMETANGAZA LEO KIPA EDERSON MORAES KUTOKA BENIFICA

Klabu ya Man City leo imetangaza kumsajili kipa Ederson Moraes kutoka Benfica kwa mkataba wa miaka mitano.
Mbrazil huyo Ederson Moraes ,23,ametua klabuni hapo kwa ada ya Pauni milioni 35.

No comments:

Post a Comment