Beki mkongwe wa pembeni Dani Alves anaweza kuungana na kocha wake wa zamani, Pep Guardiola ambaye kwa sasa ni kocha wa Manchester City.
Klabu hiyo ya England imeonyesha nia ya wazi ya kumuwania Alves ambaye ana umri wa miaka 34 akiwa ni beki chaguo la kwanza katika kikosi cha Juventus.
Inaaminika kuwa Juventus ipo tayari kumruhusu aondoke kwa euro milioni 5.7.
Alves, amecheza msimu mmoja ndani ya Juventus bao ana mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuichezea timu hiyo.
Alves na Guardiola waliwahi kufanya kazi pamoja ndani ya kikosi cha Barcelona na kupata mafanikio makubwa.

No comments:
Post a Comment