Mtoto wa nyoka ni nyoka – Hilo limeanza kujionyesha kwa mtoto wa Beyonce na Jay Z, Blue Ivy.
Ivy ambaye anaumri wa miaka mitano ameonekana kuweza kuja kufanya vizuri kama wazazi wake walivyoiteka dunia katika muziki kwa sasa.
Mtoto huyo ameonekana kufanya vizuri Jumamosi hii katika tamasha la shuleni kwao ambapo alifanya show nzuri ya kucheza pamoja na wanafunzi wenzake hali iliyowavutia wengi.
Mwaka huu Queen Bey na mumewe Jay Z wanatarajia kupata watoto wengine wawili mapacha kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa miezi michache iliyopita.
No comments:
Post a Comment