MAMADOU SAKHO ATUA ARUSHA KWA AJILI YA UTALII - JONGOTZMEDIA.COM

Latest

efm

">">WHATSAPP NUMBER 0757357341

Pages

Monday, 5 June 2017

MAMADOU SAKHO ATUA ARUSHA KWA AJILI YA UTALII

Siku mbili tu baada ya kuondoka kwa nyota wa zamani wa Manchester United, David Beckham ambaye alikuja nchini kwa utalii akiwa na familia yake, Tanzania imepata ugeni mwingine.

Safari hii ni Mamadou Sakho, beki wa Liverpool raia wa Ufaransa ambaye yuko mjini Arusha kwa utalii.

Sakho na ambaye anakipiga Crystal Palace kwa mkopo, naye yuko mapumzikoni na amechagua mbuga za wanyama za Tanzania kwa kazi yake hiyo.
NA USIKOSE KUTUFOLLOW KWENYE MITANDAO YETU YA KIJAMII

No comments:

Post a Comment