HATIMAYE ROONEY AREJEA NYUMBANI, ASAINI MIAKA MIWILI EVERTON - JONGOTZMEDIA.COM

Latest

efm

">">WHATSAPP NUMBER 0757357341

Pages

Sunday, 9 July 2017

HATIMAYE ROONEY AREJEA NYUMBANI, ASAINI MIAKA MIWILI EVERTON

Mshambuliaji Wayne Rooney amekamilisha mchakato wa kujiunga na timu ya Everton akitokea Manchester United katika usajili huru, leo Jumapili.
Staa huyo mwenye umri wa miaka 31, amerejea klabuni hapo baada ya kuondoka miaka 13 iliyopita akiwa chipukizi ambapo aliuzwa kwa pauni milioni 26.5 kipindi hicho.
Everton imempa mkataba wa miaka miwili na atakuwa akilipwa mshahara wa pauni 150,000 kwa wiki.

No comments:

Post a Comment