Kiungo wa simba JonasMkude amepata ajali maeneo ya morogoro - JONGOTZMEDIA.COM

Latest

efm

">">WHATSAPP NUMBER 0757357341

Pages

Sunday, 28 May 2017

Kiungo wa simba JonasMkude amepata ajali maeneo ya morogoro

usikose kutembelea blog yako pendewa ya JONGOTZMEDIA.BLOGSPOT.COM

mchezaji wa club na team ya Simba na Taifa Starz Jonas mkude amepata ajali leo maeneo ya dumila morogoro akiwa anarejea jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya team ya taifa ya tanzani.Chanzo cha ajerii hiyo kinasemekana ni gari walio kua wamekalia kupasuka taili la nyuma nakupelekea ajarii hiyo na kusababisha majeruhi wa wili walio pelekwa kwenya hospitali ya morogoro na mmoja kufariki anaye fahamika kwa jina la sosha na Jonasmkude kupewa huduma ya kwanza na kupele kwa hospitali ya taifa ya muhimbili

No comments:

Post a Comment