Manchester United y'a endelea na 4G - JONGOTZMEDIA.COM

Latest

efm

">">WHATSAPP NUMBER 0757357341

Pages

Saturday, 30 September 2017

Manchester United y'a endelea na 4G

Manchester United imetoa kichapo kingine kikubwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu nchini Uingereza baada ya kuifunga Crystal Palace mabao 4-0. Mabao ya United kwenye mchezo huo yamewekwa kambani na nyota wake Juan Matta aliyefunga kwenye dakika ya 3, Maroune Fellaini aliyefunga mabao mawili na Romelu Lukaku.

No comments:

Post a Comment