Klabu ya Simba leo imevunja mkataba na kocha wake Joseph Omog baada ya pande zote mbili kukubaliana.
Simba inavunja mkataba na kocha Omog siku moja baada ya kutolewa kwenye michuano ya Azam Federation Cup hapo jana na timu ya Green Warriors.
Kikosi cha Simba kocha Omog ameipatia klabu ya Simba Kombe la Azam Federation Cup pamoja na Ngao ya Hisani.
Sasa kikosi cha Simba kuwa chini ya Kocha Massoud Djuma.
No comments:
Post a Comment